Beka Flavour - Nakupenda (Official Video)
Beka Flavour Beka Flavour
310K subscribers
347,571 views
0

 Published On Premiered Mar 8, 2024

Mmmhh...
Nakupa sifa zote baby, unanichanganya changanya eweh baby iih,
Kwenye sita kwa sita wee fundi baby
iih..
Unanikoroga koroga sijiwezi iih eeh,
Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aa,
Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa,
Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aah,
Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa.

Chorus
Mpezi wangu nakupenda wewe tu,
Me mwenzio bila wewe si kitu,
Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu,
Tuishi milele mpaka tuone vitukuu,
Washachelewa aah aah oweoh,
Ushawaiwa aah aah oweoh,
Washachelewa aah aah oweoh,
Ushawaiwa aah aah ooh oweoh.

Verse 2
Mmh eeh aah,
Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu,
Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku,
Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu,
Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku,
Yeye na mimi tupo sayari yetu sayari yetu,
Tumeridhiana na yetu madhaifu madhaifu.

Chorus
Mpenzi wangu nakupenda wewe tu,
Me mwenzio bila wewe si kitu,
Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu,
Tuishi milele mpaka tuone vitukuu,
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh,
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh.

#bekaflavour #bongoflavour #nakupenda

show more

Share/Embed